Diamond Platnumz Lyrics
Enjoy the official lyrics of Holiday by Diamond Platnumz and join in singing the uplifting song.

Diamond Platnumz – Holiday Lyrics
IntroS2Kizzy Baby
Verse 1AyeWetin I do todayWapi zinachomwa crateWetin I do todayWapi tuna celebrateWetin I do today (Oh)Wapi zinachomwa crateWetin I do todayWapi tuna celebrate (Ah)
Pre-ChorusKwanza Bwana asifiwe, Halleluyah!Tulio uona mwaka, happy new year!Kula pombe mpaka panda juu ya-Meza ucheze, chezea juuLeta msosi jiachie kulaMaisha yenyewe vuvulaWanga ni wengi wa kuchuraNa hatuijuwi kesho
ChorusIt’s a holidayYaani holidayIt’s a holidayYaani holidayHolidayHoli, holi-, holidayHoli, holi-, holiday
Verse 2Hata nikisema nijichangeSijui mwaka gani nitajenga hicho kibandaMwisho nije kufa bora nijipe rahaKuliko kuzichangaNa mapenzi mtanangeHayanaga fadhilaHata uwe umejipangaWe una gharamikia na kuna bahariaAnakula bure, mwamba
Hook 1Oh, yaaniMauzauza (Eеh)Mauzauza (Oh)MauzauzaMapenzi mauzauza (Eeh)Mauzauza (Oh)Mauzauza (Eh-eh-еh)MauzauzaMapenzi mauzauza
Hook 2Kwanza Bwana asifiwe, Halleluyah!Tulio uona mwaka, happy new year!Kula pombe mpaka panda juu ya-Meza ucheze, chezea juuLeta msosi jiachie kulaMaisha yenyewe vuvulaWanga ni wengi wa kuchuraNa hatuijuwi kesho
ChorusIt’s a holidayYaani holidayIt’s a holidayYaani holidayHolidayHoli, holi-, holidayHoli, holi-, holiday
Post-ChorusHuyu Zombie jama ZombieZombie ana karahaZombie ana sifaZombie ana balaaHuyu Zombie jama Zombie (We Zombie)Zombie ana karaha (Haujui)Zombie ana sifaZombie ana balaaHuyu Zombie nyie Zombie (Mama)Huyu mwana ana balaaKa Zombie kana sifaZombie ana balaaHuyu Zombie jama Zombie (We Zombie)Zombie ana karaha (Haujui)Zombie ana sifaZombie ana balaa
OutroKa Mix Lizer
Want to keep up with the latest songs? Check out more song lyrics here and follow us on X and Facebook