Harmonize Lyrics
Get ready to groove and sing along to Harmonize’s latest song, titled X, read the song’s lyrics below.

Harmonize – X Lyrics
Kondeboy, call me “Number one”
Nani kasema. X wangu ana enjoyNani kasema anapata rahaIvi nani kasema X wangu ana enjoyNani kasema anapata raha
Nikimuona analewa namuelewaaAnajiona kachelewa age goNa bado hajapewa viuno alivyopewaAnajiona kachelewa age go
Nani kasema ex wangu anaenjoyNani kasema anapata rahaIvi nani kasema ex wangu ana enjoyNani kasema anapata rahaNever
Vanamahako twende kwalidu kulaNikatamwa nguyopa chalidu chilaVanamahako twende kwalidu kulaNikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kulaNikatamwa nguyopa chalidu chilaVanamahako twende kwalidu kula
Ibiza Miami mbaliHajapelekwa hata ZanzibariHapo kizimkazi aka enjoyLow-budget Dubai hatoboi
Anasikitisha xKama embe la mti wa poriniAnajipitisha XAmekosa wa kumuweka mjini
Nikimuona analewa namuelewaaAnajiona kachelewa age goNa bado hajapewa viuno alivyopewaAnajiona kachelewa age go
Nani kasema ex wangu anaenjoyNani kasema anapata rahaIvi nani kasema ex wangu ana enjoyNani kasema anapata rahaNever
Vanamahako twende kwalidu kulaNikatamwa nguyopa chalidu chilaVanamahako twende kwalidu kulaNikatamwa nguyopa chalidu chila
Vanamahako twende kwalidu kulaNikatamwa nguyopa chalidu chilaVanamahako twende kwalidu kula
It’s Kondeboy. Call me “Number one”BakhresaKonde music worldwideEhSikumpenda tu nilimtukuzaNikala bata bila kumchunguza babeMambo madogo akayakuzaEti kisa upendo akaniburuza
Check out more song lyrics here and follow us on X and Facebook