
Dulla Makabila Lyrics
Tanzanian singer and songwriter Dulla Makabila has dropped a brand-new single titled Arudi Uswahilini, which many are calling his bold response to the ongoing drama involving his ex, Zaiylissa, and popular Tanzanian socialite Hajji Manara.
Read Also: Juju Lyrics by Tommy Flavour Featuring Marioo
Read Arudi Uswahilini Lyrics By Dulla Makabila Below:
Aaah kisicho ridhiki hakiliki ukatae ukubaliBora ungenunua mirungi hela uliyolipa mahariMbona we mzungu unapenda ndota ila zote mwisho chaliMzungu hauna mwamvuli uliendaje juakaliHuzuni masikitiko mtu mzima ila unaendeshwa na ngonoUnawataka mpakandugu wa mke wakoKweli mi malaya ila wewe malaya mno
[Verse 2]Najua lazima ukimbilie polisi ila nimekwambia tu kudumisha peaceUliyemwita twiga kageuka fisi ushatoa talaka njoo udange tu kama sisi
[Chorus]Mwache arudi uswahilini maana uzungu umemshindaMrudishe uswahilini mana mzungu umemshindaMwache arudi uswahilini maana uzungu umemshindaHuviwezi vichwa vya uswahiliniHuyo uzungu ushamshinda
[Verse 3]Kuna muda namwelewa twiga kuna vitu vinaumaga mpaka ndaniMtu anajiita bungati ila cha ajabu akamhonga NissanNa Watanzania unatuumiza vichwa husemi chochote upo kimyaMpaka Said Said ameshangaa msemaji umekosa cha kusema
[Verse 4]Twiga anajua kilichompelekwa si mapenzi ni ShilingiSawa mzungu simpendi ila kwangu kama dingiUna mdomo mchafu sio yeye tu hata mimi siupendiBora ungesema mengine ila sio kusema hadindi hadindi
[Chorus]Mrudishe uswahilini mana mzungu umemshindaMwache arudi uswahilini maana uzungu umemshindaMrudishe uswahilini mana mzungu umemshindaHuviwezi vichwa vya uswahiliniHuyo uzungu ushamshinda
Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook