
Harmonize and Rudeboy Lyrics
Embrace the power of words and music with the heartfelt lyrics of Harmonize’s Best Couple, featuring Rudeboy.


Harmonize & Rudeboy – Best Couple Lyrics
Bomboclaat (Cough)
Honey, sweetie, babyJina gani LinakufaaNikuite mpaka kufaMy own, je’taime mubebeeeJina gani la pekeeNikuite wewe pekee (Iyee eeh)
Nishajifanya ukibuniKugombana na weee!Ila kipimo changu cha uzuniMtu anafanane na weeUmaanufu pesa changamotoUkiwa navyo ungali mtotoKukuoa we nikama ndotoNahisi kama nimeshindaNa nilicho gundua
Couple yetu inabambaOoh yabambaaHata liwake inyeshe mvuaNi name sambambaOhh sambambaWewe ni wangu mamaaaCouple yetu ina bambaOoh ina bambaaTuombe duaMimi na wewe sambambaaOoh sambambaaBomboclaat
EeehThere’s something about youGirl I can’t live without youThere’s no secret inside youWhen I’m standing beside youYou are my beautiful OnyinyeeEh eh, IfeomameI’m feeling you everydayIyee eh, ChiomameNa you make me fall in loveObimooo ohhhAnticipate your special touchObimooo ohhhIf I could define the way I feelKuja kwako wee, eehE makwana ife dinma gana diFinally on the wayIchoro erapu ndi nwa
Couple yetu inabambaOoh yabambaaHata liwake inyeshe mvuaNi name sambambaOhh sambambaWewe ni wangu mamaaaCouple yetu ina bambaOoh ina bambaaTuombe duaMimi na wewe sambambaaOoh sambambaa
A’udhu billahi min ash-shaytaan in-najeemHata tukikesha club asubuhi tuko gymNampenda tena namuheshimuMkata shombo ukipenda muite ndimuBomboclaatMamacitate quieroMi amor
Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook