
Zuchu Lyrics
Join us for a musical exploration of the intense emotions poured into Zuchu’s powerful “I Don’t Care,” discover the raw lyrics below and experience the song’s emotional depth.
RELATED: Read ‘Lollipop’ Lyrics by Zuchu Ft Yemi Alade
Zuchu – I Don’t Care Lyrics
Maneno yenu, sio msumariKusema kwamba yatanitoboaNa tena wala, wala sijaliSioni jipya la kunikomoaMnachojua majunguBinadamu mnachoshaAkishanipenda MunguNa mama yangu inatosha
Money on my mind, God on my sideSina muda, muda wa negativityMoney on my mind, God on my sideSina muda, muda wa negativity
Nyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napendaNyi mkinisema-sema mjue naona rahaNyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napendaNyi mkinisema-sema mjue naona raha
I don’t careI don’t careI don’t careI don’t care
Mziki yangu yagonga, ila mi wa leo sio wa janaKweli sijavuna matunda, ila walao hawakosi mlo mamaNa wenzangu nawatunza, naoto zangu ziwezefanaJapo shukrani ya punda, wakishapata wanantukana
Mnachojua majunguBinadamu mnachoshaAkishanipenda MunguNa mama yangu inatosha
Money on my mind, God on my sideSina muda, muda wa negativityMoney on my mind, God on my sideSina muda, muda wa negativity
Eti nyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napendaNyi mkinisema-sema mjue naona rahaNyi mkinisema-sema mjue hiyo ndo napendaNyi mkinisema-sema mjue naona raha
I don’t careI don’t careI don’t careI don’t care
Want to keep up with trending songs? Check out more song lyrics here and follow us on X and Facebook