Diamond Platnumz Lyrics
Diamond Platnumz dives deep into his emotions, bringing out a heartfelt story of love, struggles, and unfulfilled dreams in a brand new single song titled Nitafanyaje, whichi is now available in all digital platforms
Read Nitafanyaje Lyrics by Diamond Platnumz below:
(Verse 1)Siwezisema kitandani, labda umasikini wanguNdo kinayonishusha thamani, watahminike wenzanguSiwezisema skujali, labda vizawadi vyanguHavikufikia ukubwa wanavitoa wenzangu
(Pre-Chorus)Kinachoniumiza, hauridhiki ugao wa MolaNingali kwa mimi, mbona hujaombolaNa mbaya kabisa, rafiki wananichoraKwa hizo posti zake na wenye nguvu (Kuyatoa hiyoo)
(Chorus)Oh oh, moyo wangu mamaa, unaona uchunguMwenzake, moyo wanguu, anauumiza sanaa
(Bridge)Sema nitafanyani, ndo ivo nitafanyaIla nitafanya nini, ndo ivo nitafanyaje
(Verse 2)Nashikwa na gagaziko kila nikiingia chumbaniSijui nilalie tandiko ama sakafuni, aahNachoka tu kwa nje na ndani (Masikitikoo)Sababu pengo lako, honey, bado lipoo
(Pre-Chorus)Kinachoniumiza, hauridhiki ugao wa MolaNingali kwa mimi, mbona hujaombolaNa mbaya kabisa, rafiki wananichoraKwa hizo posti zake na wenye nguvu (Kuyatoa hiyoo)
(Chorus)Oh oh, moyo wangu mamaa, unaona uchunguMwenzake, moyo wanguu, anauumiza sanaa
(Outro – Singeli Energy)Oi, lije-lije, hii ngoma iweke lipitiMaana natupa stimu na wanangu kulilia kijitiLije-lije, hii ngoma iweke lipitiSajuti ya wazimu kuitoa tu msema muziki
Kwa maana inatu (Fire), na inatu (Fire)Mwanangu inawa (Fire), na inawa (Fire)Machizi wote wanapata (Fire), eh wanapata (Fire)Na mbegu zinapata (Fire), eh zinapata (Fire)
Namnema mwanangu kwa upande wa kangaNilitamani tenge ila sijajipangaNamnema mwanangu kwa muda pata mwenzioNilitamani manasi ila ndo sina salio
(Hook – Street Vibes)Mama yo mama (Amenitenda kausha damu)Oh mama yo maa (Wamenitenda kausha damu)Oh mama yoyo (Wamenitenda kausha damu)Oh mama yo maa (Wamenitenda kausha damu)
Asa waitee, oya makofi, kigogo nipe mawiliKa hujatumika sana sehemu za siriKaso Mlonganzila, shepu asiliSa nipe ya kibunge-bunge utitiri (Twen zetu)
Asa audi waletee, walete apa katiWaletee haoo, walete apa katiWaletee asaa, walete apa katiWalete haoo, walete hapa kati
(Singeli Finale)Eeh tunacheza mpaka sa ngapi, tunachezaa (Mpaka asubuhi)Tunaruka mpaka sa ngapi, tunaruka (Mpaka asubuhi)
Hivi tena, bado sijaonaHivi tena, bado sijaonaHivi tena, bado sijaonaHivi tena, bado sijaona
Eeh (Kuelewa) aah(Eeh unayumba) eeh (Sasa umeelewa) aahEh unayumba
We ndo si huelewa, sa mbona unayumbaUnavyomwelewa, eh unayumba
Oya wahuni wana namba zao zinaitwa (Apana chando)Wanangu wana mamba zao zinaitwa (Selasini na mbili)Masala wana mamba zao zinaitwa (Ishirini na sita)Oya kuna wengine hawana namba
Explore Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook