Nandy Lyrics
After setting the East African streets on fire with Sugar a few months ago, Tanzanian singer and songwriter Nandy is back with a brand-new, high-energy banger titled No Stress—her second single of 2025.
Read Also: Dangbana Riddim Lyrics by Bella Shmurda Feat. FOLA
Read No Stress Lyrics By Nandy Below:
No more stress, no bad moodWeka mbali stress, tuenjoy muda huuNo more stress, no bad moodWeka mbali stress, tuenjoy muda huuMr LG
No more stress, mi sitaki shidaNa ujiangalie, kiufupi sina mudaNo more, ukinibwaga haina shidaNikung’ang’anie kwani we kadi ya nida
Na ivo vikodikodi msinisumbueNajichanga vyangu mjengo niununueKiwe kikubwa, kidogo, ilimradi nipumueWacha nifosifosi, Mungu tu ndo afungue
Kushindana mashindano mie siweziKupambana mapambano mie siweziEti kutwa malumbano mie siweziZangu dua na goti namwachia Mwenyezi
Kifupi no more stressNo bad moodWeka mbali stressTuinjoy muda huu
No more stressNo bad moodWeka mbali stressTuinjoy muda huu
Lord have mercy‘Cause I know you’re bestMy heart is the testAs [?] no restyWorld is on fire (fire fire fire)And I don’t want retire
Kushindana mashindano mie siweziKupambana mapambano mie siweziEti kutwa malumbano mie siweziZangu dua na goti namwachia Mwenyezi
Kifupi no more stressNo bad moodWeka mbali stressTuinjoy muda huu
No more stressNo bad moodWeka mbali stressTuinjoy muda huu
Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook