
Jux Lyrics
Get ready to groove and sing along to the energetic lyrics of Jux’s chart-topping hit, Si Mimi.


Jux – Si Mimi Lyrics
IntroHeyyyy YeeYeyi Yeee
Verse 1Eh Nitazunguka duniaNitangaze sifa zako, Uzuri wakoSiwezi fanya siriWanibebeshe guniaNa zote dhambi zako, Sumu yakoImetawala mwili
Pre-ChorusSi MimiNi akili yanguSi MimiNi moyo wanguSi MimiNi mawazo yanguSi MimiLabda roho yangu
ChorusMimi bila weMimi bila weMimi bila weSi bora waniuweMimi bila weMimi bila weMimi bila weSi bora waniuweEeeehhOoohAaah
Verse 2We ndo daktariMponya maradhi, Yani kama zaliZali la mentaliNakupenda kweliHilo liko wazi, Jua ukinitupaUtaniachia simanzi
Pre-ChorusSi MimiNi akili yanguSi MimiNi moyo wanguSi MimiNi mawazo yanguSi MimiLabda roho yangu
ChorusMimi bila weMimi bila weMimi bila weSi bora waniuweMimi bila weMimi bila weMimi bila weSi bora waniuwe
Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via X and Facebook