
Zuchu and Diamond Platnumz Lyrics
Check out the official lyrics for Zuchu’s newest song, “Wale Wale,” which features a collaboration with Diamond Platnumz.


Zuchu & Diamond Platnumz – Wale Wale Lyrics
Sisi ndo wale waleMlio tukataaMkasema hatufiki mbalee (Na Simba lamaa)Sasa tumejipataNi Zuchu chu chu chu chuHehehee (Ayo Trone) ai wewee Troniiiiii, heee!
Ayayayaya ulivyonipiga jujuUlidhani nitagwaya, hukujua nina MunguAyayayayaya eti nile chukuchukuMambo yangu yako sawaNishashiba kukukukuHee! Chote ni choyo na sijaliiNdio kina waumizaNa Mungu wangu, (Na Mungu wangu)Yu Ngangari, cheza nami atawamalizaKaribu ntanunua gari nakuja kwenuItaneni muambizane mje mjae (Mama Sumaaa)Maisha yangu ya bei ghali kuliko yenuMi ndo yule mlikatazwa msicheze naeSisi ndo nani
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)Mlio tukataa (Mlio tukataa)Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)Sasa tumejipata (Aii aaah hee)Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)Mlio tukataa (Mlio tukataaa)Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)Sasa tumejipata aritikitiki tikitikiEeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!Arerererere are tokoto tokotoTokoto tokoto tokoto tokoto hee!
Ooh eti ntakufa, kwani we utaishi mileleNilipozitafuta, mbona mliniacha mwenyeweHizo chuki na pupa ooh, ndo zinofanya mcheleweKwa kushinda kutwa, roho mbaya na viherehereHee na mwaka huuMtaisaga rumba, eh kwaniniMaana nimemowomba Mungu mpaka nyumbaNa mjiandae kwa sare za ndoa sio uchumbaEeh waganga, waganga wenu wambieni wakoleze ndumbaAeee oh! Binadamu ni waajabu sana, jaabu sanaWana maneno ya kukatisha tamaaBinadamu ni waajabu sanaaaWana matendo ya kuumiza sanaWalisema eti nna nuksi ya senti (Kapachuka)Nyota yangu ya boda ya kwao ya jetiNani wa kunidate bega kama kenchiKudadeki zenu asa mbona mnakechiOooh sisi ndo walewale
Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wale wale)Mliotukataa (Mliotukataa)Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)Sasa tumejipata (Aii aaah hee)Sisi ndo wale wale (Sisi ndo wawawawa)Mliotukataa (Mliotukataaa)Mkasema hatufiki mbalee (Jamani Mungu si Athumani)Sasa tumejipata aritikitiki tikitikiEeh rikiti tikiti tikiti tikiti tikiti tikiti hee!Arerererere are tokoto tokotoTokoto tokoto tokoto tokoto hee!
Check Lyrics of latest songs here, and get fresh updates as they drop via Twitter and Facebook